ricostrong
Member
- Nov 15, 2016
- 43
- 6
[emoji23] [emoji23] [emoji23]umeipiga picha kijanjajanja sana! piga picha pande zote 4
Hahahahaha!! Tusamehe bure watanzania wenzako.. Eti 'public toilet', alafu ni detail imewekwa kwenye tangazo kumvutia mteja hahahahahJamani mimi ni mshamba sana, ninaombeni mnifahamishe family house inawezaje kuwa na public toilet?
Hahahahaha!! Tusamehe bure watanzania wenzako.. Eti 'public toilet', alafu ni detail imewekwa kwenye tangazo kumvutia mteja hahahahah
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaaaa kwa maana hiyo wapita njia wote ruksa.
Nimecheka sana usiku huu.
Hujaichukulia mkopo kwel hiiNyumba ipo chanika
Sitting room
Master 1
Single room 2
Public toilet
Huduma muhim znaptkana kwa ukaribu
0656 698232
Madalali wetu hawako professional.umeipiga picha kijanjajanja sana! piga picha pande zote 4
Anamaanisha choo ambacho kipo nje ya nyumba kuu kwa maana ya Hakijajengwa ndani pamoja na sehemu yenye vyumba.Jamani mimi ni mshamba sana, ninaombeni mnifahamishe family house inawezaje kuwa na public toilet?
Thnx mkuuAnamaanisha choo ambacho kipo nje ya nyumba kuu kwa maana ya Hakijajengwa ndani pamoja na sehemu yenye vyumba.
Ikipungua kabei kama sh ngap mkuuIkipungua kabei nambie niibuke maana imenibidi nizamie kuhesabia chini ya uvungu