I ISENUKA Member Joined May 25, 2014 Posts 81 Reaction score 10 Dec 27, 2014 #1 Ipo kibaha picha ya ndege, vyumba 7, stoo, choo na bafu vinajitegemea,barabara inapitika hadi uwanjan,na inawapangaji wanaishi,pia maelewano yapo, mawasiliano, 0755143486 0686958013
Ipo kibaha picha ya ndege, vyumba 7, stoo, choo na bafu vinajitegemea,barabara inapitika hadi uwanjan,na inawapangaji wanaishi,pia maelewano yapo, mawasiliano, 0755143486 0686958013
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 23,064 Reaction score 28,135 Dec 27, 2014 #2 ukubwa wa kiwanja ukoje?
I ISENUKA Member Joined May 25, 2014 Posts 81 Reaction score 10 Dec 27, 2014 Thread starter #3 niqqas hoe said: ukubwa wa kiwanja ukoje? Click to expand... urefu ni 25mita na upana ni 12mita,haina mgogoro na malipo hata kwa awamu inakubalika,
niqqas hoe said: ukubwa wa kiwanja ukoje? Click to expand... urefu ni 25mita na upana ni 12mita,haina mgogoro na malipo hata kwa awamu inakubalika,
M masagati JF-Expert Member Joined Oct 16, 2012 Posts 496 Reaction score 368 Dec 27, 2014 #4 Kaka weka picha
B Blueband JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 668 Reaction score 244 Dec 27, 2014 #5 ISENUKA said: Ipo kibaha picha ya ndege, vyumba 7, stoo, choo na bafu vinajitegemea,barabara inapitika hadi uwanjan,na inawapangaji wanaishi,pia maelewano yapo, mawasiliano, 0755143486 0686958013 Click to expand... si uweke hata ka picha mzee!!
ISENUKA said: Ipo kibaha picha ya ndege, vyumba 7, stoo, choo na bafu vinajitegemea,barabara inapitika hadi uwanjan,na inawapangaji wanaishi,pia maelewano yapo, mawasiliano, 0755143486 0686958013 Click to expand... si uweke hata ka picha mzee!!
medisonmuta JF-Expert Member Joined Oct 10, 2014 Posts 2,446 Reaction score 1,535 Dec 27, 2014 #6 Hiyo ni nyumba au kibanda! 15M...
C cj21125 JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 3,592 Reaction score 3,541 Dec 27, 2014 #7 ISENUKA said: Ipo kibaha picha ya ndege, vyumba 7, stoo, choo na bafu vinajitegemea,barabara inapitika hadi uwanjan,na inawapangaji wanaishi,pia maelewano yapo, mawasiliano, 0755143486 0686958013 Click to expand... Ungeandika kibanda kinauzwa ningekuelewa vizuri.
ISENUKA said: Ipo kibaha picha ya ndege, vyumba 7, stoo, choo na bafu vinajitegemea,barabara inapitika hadi uwanjan,na inawapangaji wanaishi,pia maelewano yapo, mawasiliano, 0755143486 0686958013 Click to expand... Ungeandika kibanda kinauzwa ningekuelewa vizuri.
I ISENUKA Member Joined May 25, 2014 Posts 81 Reaction score 10 Dec 27, 2014 Thread starter #8 masagati said: Kaka weka picha Click to expand... naona fail linagoma kufunguka,cm yng haina uwezo huo ila ntaiweke mambo yakikaa sawa
masagati said: Kaka weka picha Click to expand... naona fail linagoma kufunguka,cm yng haina uwezo huo ila ntaiweke mambo yakikaa sawa
I ISENUKA Member Joined May 25, 2014 Posts 81 Reaction score 10 Dec 27, 2014 Thread starter #9 medisonmuta said: Hiyo ni nyumba au kibanda! 15M... Click to expand... mheshimiwa ni kibanda hakiwi na vyumba 7 na stoo na wala hakina wapangaji mheshimiwa,seme mwenye nyumba anamatatizo sana,hvyo anataka atatue tatizo lake,
medisonmuta said: Hiyo ni nyumba au kibanda! 15M... Click to expand... mheshimiwa ni kibanda hakiwi na vyumba 7 na stoo na wala hakina wapangaji mheshimiwa,seme mwenye nyumba anamatatizo sana,hvyo anataka atatue tatizo lake,
P Private-eye JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 1,069 Reaction score 1,211 Dec 27, 2014 #10 Kwan nyumba ni nin??