Mushashamuga
Member
- Mar 3, 2018
- 5
- 4
Nyumba ya kisasa yenye room nne za kulala(pamoja na master) ipo ndani ya fence ikiwa na huduma zote muhimu kama Umeme na Maji inapangishawa,ipo maeneo ya Matembele ya pili kivule mita 200 kutoka barabara kuu ya banana kivule inayopigwa lami.kodi ni 250,000 kwa mwezi. Mawasilino piga namba 0754925697 au ni PM.
Apartment gani unaweza kupata kwa laki 2 hapa mjini?BARABARA YA VUMBI.. HYO 250, UNAPATA APARTMENT TENA MUJINI.. NA KUMINIMIZE COST YA USAFIRI.
Mimi naishi lindoniMwifwa tukapange wote best, au mwenzangu una mjengo wako?
Nyumba sio ndogo hiyo mkuu,hapo umeona picha ya upande mmoja tu wa Nyumba,kama unahitaji ni PM nikurushie picha zaidi na ikiwekana upata nafasi ya kuja kuikagua.Nyumba ndogo namna hiyo vyumba vinne vepee? Hivyo vyumba vitakuwa vidogo kama banda la njiwa I bet!
Toka huko tukapange wote kivule bwana... Mimi, wewe, Demiss na HB wa KigogoMimi naishi lindoni
Weka picha zote humu watu wang'amue, umetangaza public halafu maelezo yawe mafichoni!!Nyumba sio ndogo hiyo mkuu,hapo umeona picha ya upande mmoja tu wa Nyumba,kama unahitaji ni PM nikurushie picha zaidi na ikiwekana upata nafasi ya kuja kuikagua.
Barabara hiyo inapigwa lami mkuu, mkandarasi yupo kazini,ndani ya miezi michache itakuwa imekamilika.BARABARA YA VUMBI.. HYO 250, UNAPATA APARTMENT TENA MUJINI.. NA KUMINIMIZE COST YA USAFIRI.
Mjini tunaishi kijanja bana, kikubwa ukipata sehemu ya kuegesha mambo yanakuwa poa tu.Toka huko tukapange wote kivule bwana... Mimi, wewe, Demiss na HB wa Kigogo
Haya bwana, kwa kuwa mimi sina huo ujanja wa kimjini ngoja niendelee kutafuta wenzangu wakupanga nao hiyo nyumbaMjini tunaishi kijanja bana, kikubwa ukipata sehemu ya kuegesha mambo yanakuwa poa tu.
Sawa, kila la kheriHaya bwana, kwa kuwa mimi sina huo ujanja wa kimjini ngoja niendelee kutafuta wenzangu wakupanga nao hiyo nyumba
Njoo YOMBO nyumba safi kwa kilo 1.5 tu na ufunguo wa geti unapewa
Hahaha aseee ila kumestaarabika nowadys mkuu nilishawahi tembelea maeneo ya Buza amani niliona au sijui hawakuniotea tu pengineMtaa mzima wakabaji hadi baba mwenye nyumba