Nyumba inapangishwa

Gracie Joe

Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
47
Reaction score
14
Nyumba ambayo ni ghorofa moja yenye vyumba 4 vya kulala ambavyo ni self contained inapangishwa maeneo ya Tabata kinyerezi kwa ditopile.
Kodi ni sh 700,000 kwa mwezi, tunapokea kodi ya miezi 6 kwa uchache.

Bei inaweza kupungua kidogo
Nifundisheni jinsi ya kuattach pictures maana nimeshindwa

Nipigie 0756 946 327
 
Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa no 0756 946 327
 

Attachments

  • side view.JPG
    1.5 MB · Views: 103
Kiwanja cha jirani ya hiyo ghorofa kuna upande wa nyumba unapangishwa pia, vyumba 3 vya kulala. Kimoja ndio master na kodi yake ni sh 300,000, again tunapokea kodi ya miezi 6 lakini hata 3 tukielewana vizuri.

Karibuni
 
Jamani karibuni kwenye brand new house, mabachelors mwaweza kushare
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…