N nghoni Member Joined Nov 29, 2013 Posts 11 Reaction score 2 Mar 28, 2014 #1 Jamani nyumba hiyo unapangishwa ipo kiwalani ina vyumba 3 vya kulala,sitting room,jiko na choo ndani. Kodi ni 200000 kwa mwezi. Attachments 1396029079166.jpg 62.9 KB · Views: 458
Jamani nyumba hiyo unapangishwa ipo kiwalani ina vyumba 3 vya kulala,sitting room,jiko na choo ndani. Kodi ni 200000 kwa mwezi.
dafity JF-Expert Member Joined Aug 16, 2008 Posts 1,878 Reaction score 2,085 Mar 28, 2014 #2 Kutoka barabarani ni umbali gani?
N nghoni Member Joined Nov 29, 2013 Posts 11 Reaction score 2 Mar 28, 2014 Thread starter #3 Ni dakika 5 toka barabarani.
Nyanya mbichi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 3,716 Reaction score 2,218 Mar 28, 2014 #4 barabara ipi ya kijiwe samli au minazi mirefu au bombom au ccm au km kwenda nyerere road
N nghoni Member Joined Nov 29, 2013 Posts 11 Reaction score 2 Mar 28, 2014 Thread starter #5 Kwenye kona km unaenda kijiwe samli pale kwenye tank na wanauza mbao kuna kona hapo ni nyumba ya sita kushoto.
Kwenye kona km unaenda kijiwe samli pale kwenye tank na wanauza mbao kuna kona hapo ni nyumba ya sita kushoto.
mean girl Member Joined Feb 22, 2011 Posts 27 Reaction score 1 Mar 29, 2014 #6 Nyumba nzuri je ina uzio na parking
N nghoni Member Joined Nov 29, 2013 Posts 11 Reaction score 2 Mar 29, 2014 Thread starter #7 Haina parking ila ina uzio kwa nyuma.
M mizdo Member Joined Jun 17, 2013 Posts 21 Reaction score 3 Mar 30, 2014 #8 Malipo kwa muda gan..miez sita o mwaka?
Replies JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,497 Reaction score 453 Mar 30, 2014 #9 Wale watoto wa Mbwa Hamna uko kwako; ANGALIZO
Ushirombo JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 3,558 Reaction score 2,711 Mar 30, 2014 #10 nghoni said: Ni dakika 5 toka barabarani. Click to expand... Dakika 5 kwa speed gani? We vp bana
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,202 Reaction score 1,957 Mar 30, 2014 #11 Ni ghorofa????????
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,202 Reaction score 1,957 Mar 30, 2014 #12 nghoni said: Jamani nyumba hiyo unapangishwa ipo kiwalani ina vyumba 3 vya kulala,sitting room,jiko na choo ndani. Kodi ni 200000 kwa mwezi. Click to expand... Kwani kuinunua ni sh.ngapi??????????
nghoni said: Jamani nyumba hiyo unapangishwa ipo kiwalani ina vyumba 3 vya kulala,sitting room,jiko na choo ndani. Kodi ni 200000 kwa mwezi. Click to expand... Kwani kuinunua ni sh.ngapi??????????
N nghoni Member Joined Nov 29, 2013 Posts 11 Reaction score 2 Apr 3, 2014 Thread starter #13 Malipo ni mwaka bt u can negociate.. Na haiuzwi
N nghoni Member Joined Nov 29, 2013 Posts 11 Reaction score 2 Apr 3, 2014 Thread starter #14 Watoto wa mbwa hamna
N nghoni Member Joined Nov 29, 2013 Posts 11 Reaction score 2 Apr 3, 2014 Thread starter #15 Watoto wa mbwa hamna huku