M mwananyiha JF-Expert Member Joined Mar 11, 2008 Posts 248 Reaction score 43 Sep 16, 2013 #1 Ipo Salasala/Kilimahewa.Ina vyumba vitatu vya kulala, sebule kubwa, dining, stoo, vyoo viwili. Maji ya uhakika na kuna reserve tank ya lita 2000. Kwa mwezi 350,000 maelewano yapo kwani nyumba ni yangu. Mawasiliano ni 0712232849
Ipo Salasala/Kilimahewa.Ina vyumba vitatu vya kulala, sebule kubwa, dining, stoo, vyoo viwili. Maji ya uhakika na kuna reserve tank ya lita 2000. Kwa mwezi 350,000 maelewano yapo kwani nyumba ni yangu. Mawasiliano ni 0712232849
M mwananyiha JF-Expert Member Joined Mar 11, 2008 Posts 248 Reaction score 43 Sep 17, 2013 Thread starter #2 Na ni nzuri kwa wale wanaohamia toka mikoani tunaweza kuelewana nikamwachia na vitu vya ndani
M mwananyiha JF-Expert Member Joined Mar 11, 2008 Posts 248 Reaction score 43 Sep 19, 2013 Thread starter #3 Bado ipo sokoni kwa aliye na uhitaji wa nyumba awahi
M mwananyiha JF-Expert Member Joined Mar 11, 2008 Posts 248 Reaction score 43 Sep 19, 2013 Thread starter #4 Bado ipo so koni kwa aliye na uhitaji wa nyumba awahi
yutong JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 1,601 Reaction score 338 Sep 19, 2013 #5 Hongera mkuu ila pesa ni nyingi sana hiyo lo ungepunguza kidogo
M mwananyiha JF-Expert Member Joined Mar 11, 2008 Posts 248 Reaction score 43 Sep 19, 2013 Thread starter #6 yutong said: Hongera mkuu ila pesa ni nyingi sana hiyo lo ungepunguza kidogo Click to expand... Ndio maana nimeandika kuwa maelewano yapo mkuu usiogope
yutong said: Hongera mkuu ila pesa ni nyingi sana hiyo lo ungepunguza kidogo Click to expand... Ndio maana nimeandika kuwa maelewano yapo mkuu usiogope