Shaycas JF-Expert Member Joined Feb 13, 2009 Posts 906 Reaction score 112 Jan 29, 2012 #1 Ipo Nkuhungu Dodoma. Vyumba vitatu(master 1),sebule, dining room, store na jiko. Maji na umeme vipo.
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,366 Reaction score 3,561 Jan 29, 2012 #2 Shaycas said: Ipo Nkuhungu Dodoma. Vyumba vitatu(master 1),sebule, dining room, store na jiko. Maji na umeme vipo. Click to expand... Inapangishwa bure?!
Shaycas said: Ipo Nkuhungu Dodoma. Vyumba vitatu(master 1),sebule, dining room, store na jiko. Maji na umeme vipo. Click to expand... Inapangishwa bure?!
Shaycas JF-Expert Member Joined Feb 13, 2009 Posts 906 Reaction score 112 Jan 29, 2012 Thread starter #3 Tripo9 said: Inapangishwa bure?! Click to expand... Kupangishwa bure kukoje. Tumia busara ya kawaida ndugu. Kama unahitaji fanya mawasiliano, gharama ni ndogo sana.
Tripo9 said: Inapangishwa bure?! Click to expand... Kupangishwa bure kukoje. Tumia busara ya kawaida ndugu. Kama unahitaji fanya mawasiliano, gharama ni ndogo sana.
B brianjames11 Member Joined Feb 17, 2011 Posts 37 Reaction score 10 Jan 30, 2012 #4 shaycas said: kupangishwa bure kukoje. Tumia busara ya kawaida ndugu. Kama unahitaji fanya mawasiliano, gharama ni ndogo sana. Click to expand... ni vema ukaweka bei kuepuka lugha ambazo si nzuri. Mara zote mtu anayepangisha nyumba anasema bei na kuonyesha picha ila wateja waweze kufanya maamuzi sahihi.
shaycas said: kupangishwa bure kukoje. Tumia busara ya kawaida ndugu. Kama unahitaji fanya mawasiliano, gharama ni ndogo sana. Click to expand... ni vema ukaweka bei kuepuka lugha ambazo si nzuri. Mara zote mtu anayepangisha nyumba anasema bei na kuonyesha picha ila wateja waweze kufanya maamuzi sahihi.
Rich Dad JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 748 Reaction score 138 Jan 30, 2012 #5 Weka bei kama kweli unapangisha! Ukiwa silent inakuwa ina maanisha kuwa ni for charity.