Nyumba nzima inapangishwa ipo temeke buza Ina vyumba vitatu kimoja master sebure jiko stoo dining room pamoja na maji Ipo katika mazingira mazuri na yenye usalama Ipo jirani na barabara kuu ina eneo la parking na geti kwa mwenye gari Kutoka mahali ilipo hadi city centre ni dakika 15 na barabara hii hainaga foreni kubwa Hutojuta ukipanga hapa Bei ni sh laki 3 kwa mwezi
Kwa mawasiliano piga namba 0654 352424