Nyumba inapangishwa tabata

mathewa

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2012
Posts
784
Reaction score
1,180
Vyumba viwili, jiko choo na sebule @ 230000
 
Tabata sehemu gani?

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Naomba kujua kama ina parking, na iko sehemu gani, barabarani au, inajitegemea au, maji na vingine
 
Tabata sehemu gani?Mbona hujasema maana Tbt Kubwa sana!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Naomba kujua kama ina parking, na iko sehemu gani, barabarani au, inajitegemea au, maji na vingine
parking ipo, maji yapo karibu ila ndani ya nyumba hakuna maji. Mwenye nyumba ndo ana mpango wa kuweka. Haiko barabarani ila gari inafika hadi kwenye nyumba
 
Segerea ipi Mkuu?Mwisho,Chama,Kwa bibi,Nderingo,Mangumi au Sai Baba?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Segerea ipi Mkuu?Mwisho,Chama,Kwa bibi,Nderingo,Mangumi au Sai Baba?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

ugombolwa mkuu karibu na kituo cha polisi. Unashukia sanene mkuu
 
Nyumba bado ipo mnakaribishwa sana
 
parking ipo, maji yapo karibu ila ndani ya nyumba hakuna maji. Mwenye nyumba ndo ana mpango wa kuweka. Haiko barabarani ila gari inafika hadi kwenye nyumba

Nyumba ikikosa maji ndani ni mtihani kweli, wengine kubeba ndoo kichwani na nimeshaweka lace wig langu mmmmhhh! !
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…