Okay ulimaanisha 1 Master bedroom + 2 bedrooms? Okay...vp kuhusu umeme,ina luku yake ya kujitegemea? sehemu ya ku'park magari ni fenced(ndani ya fensi) kama bei inapungua inaweza kunihamasisha kukatisha mkataba wangu ninapokaa sasa hv,naweza kuja kuiona? si haina dalali sitegemei ku'chargiwa zile fees za kidalali Mkuu...