Nyumba inapangishwa Sakina,Arusha.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Habari zenu?
Nyumba ya vyumba viwili,sebule,jiko na choo(public) dinning,inapangishwa Sakina kwa IDD,Arusha.
Nyumba ina geti,fence.Ipo just 90meters kutoka Namanga road,ina umeme na maji.
Bei laki tatu,inatakiwa kodi ya miezi 6,plus mwezi mmoja wa DALALI.

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
huu wizi wanaoita mwezi mmoja wa dalali siupendi na wameshaweka kama sheria.! laki 3 kwa kazi gani aliofanya.

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
huu wizi wanaoita mwezi mmoja wa dalali siupendi na wameshaweka kama sheria.! laki 3 kwa kazi gani aliofanya.

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Kama hutaki kutoa mwezi mmoja wa dalali,nenda kajenge nyumba yako au nenda katafute mwenyewe nyumba,iko simple sana don't panic.
Heshimu kazi za watu ili na yako iheshimiwe!
 
upuuuzi mtupuuu eti mwez mmoja wa dalali who a u

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
upuuuzi mtupuuu eti mwez mmoja wa dalali who a u

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
Tumeona na wewe unajua kuandika na unamiliki smart phone!

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
nn/?

Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
 
Muonekano nje kwa geti please

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Lamba miezi mitatu Mkuu advance

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Muonekano nje kwa geti please

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Picha zote nimeweka,kama unahitaji zaidi karibu kuona kwa macho(naked eyes)

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…