Nyumba inapangishwa manzese uzuri

KRISTIAN P

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
359
Reaction score
69
Nyumba ina pangishwa ina vyumba viwili vya kulala kimoja kina master,jiko la ndani na luku inajitegemea. Bei 250,000 kwa mwezi. 0769407306ATTACH]215766[/ATTACH]
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1420346831.740388.jpg
    52.2 KB · Views: 158
Bei Ni Nzuri Ila Tatizo Ni Eneo La Manzese Tu!

Panya road wamehalibu biashara,ila hapa shwarii mimi mwenye na kaaa hapa nyumba ina pande mbili mmoja na kaa mwenyewe na nyingine ndio iyo naipangisha..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…