Nyumba mpya inapangishwa maeneo ya Kunduchi Beachi karibu na hoteli ya Silver Sands. Nyumba ina eneo la mita za mraba 300, vyumba 3, sebule, jiko na eneo la kutosha kwaajili ya maegesho ya gari.
Kwa maelezo zaidi kuhusu nyumba hii bofya
View Property
Kuona nyumba na viwanja sehemu mbalimbali nchini tembelea tovuti yetu
DarProperty: East Africa's Ultimate Property Guide
View attachment 251950