M Msiri Senior Member Joined Jan 10, 2010 Posts 124 Reaction score 100 Feb 7, 2013 #1 Eneo ilipo: Area C, karibu kabisa na barabara ya Arusha. Aina ya nyumba: Ex NHC. Vyumba viwili, jiko, sebule na choo. Standard yaani haijafanyiwa marekebisho ya ziada. Kodi: shs 160,000 kwa mwezi. Wa kwanza kutoa offer anaipata. Inapatikana muda wowote. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia tajirika@gmail.com .
Eneo ilipo: Area C, karibu kabisa na barabara ya Arusha. Aina ya nyumba: Ex NHC. Vyumba viwili, jiko, sebule na choo. Standard yaani haijafanyiwa marekebisho ya ziada. Kodi: shs 160,000 kwa mwezi. Wa kwanza kutoa offer anaipata. Inapatikana muda wowote. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia tajirika@gmail.com .
C cathberthisdory Member Joined May 24, 2017 Posts 28 Reaction score 12 Sep 25, 2018 #2 Bado ipo hiyo mkuu