Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 619
- 371
Hapana mkuu luku ipo 1.Luku ya kujitegemea?
Ndio mkuu ina umeme.Inaumeme?
Nitaenda kupiga picha mkuu then niweke mvione vyumba.picha basi tukionee
Tatizo litaanzia hapa!Hapana mkuu luku ipo 1.
Tatizo litaanzia hapa!
kama ukiipenda kuligangana na mahitaji yako unanunua meter separator.Luku ya kujitegemea?
Habari wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa napangisha nyumba iliyopo mbagala kuu karibu na shule ya msingi ya maendeleo mita mia 200 kutoka barabarani chumba kimoja na sebule na choo cha ndani kodi ni elfu 90 kwa mwezi maji yapo ya uhakika tena karbu na mlango Mwenye kujitaji tuwasiliane 0679478758 au 0746670091. Karibuni sana.