Sjui kama sheria ipo au laa, lkn laiti kama ingeweka utaratibu wa kusajili pia madalali local ili walipe kodi na TRA wangekusanya kodi ya kupangisha nchi nzima kwa kiwango cha 5% tu; sjui ingelikusanywa kiasi gani kwa mwaka. Nyie mlioko serikalini hizo shule mmeenda kusomea ujinga?