E Emaoi JF-Expert Member Joined Mar 9, 2013 Posts 307 Reaction score 235 Apr 23, 2018 #1 Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili kwa mwezi. kwa mawasiliano piga 0653 954094
Nyumba inapangishwa Arusha sanawari . ina vyumba viwili vya kulala na sebule na choo, jiko, bafu, store. ipo ndani ya fence ina umeme na maji karibu na barabara ya daladala. bei yake ni laki mbili kwa mwezi. kwa mawasiliano piga 0653 954094
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,015 Apr 23, 2018 #2 Fanya elfu 80 nikulipe ya miaka mitatu.
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,738 Reaction score 6,641 Apr 24, 2018 #3 Weka picha ya nyumba tuione kabla ya kupiga simu