Wewe Sababu ya kutaka Kuinunua Nini?? Watu wengine bwana. Do your homework. Kama Una hela fungua biashara... Sio kukebehi watu humu. Kama Huna Cha kuandika Sio lazima Upost hapa....sababu za kuuza nyumba ni nin mkuu?
uchumi umeyumba kiongozi , kama utaangalia vema hizo picha utaona jamaa kashindwa kufanya finishing ya uhakika , jamaa anayumba ingine ipo chamazi anataka ahamie huko halafu hiyo ifanye mambo mengine, ( kuna watu nawafahamu huwa hawakopi pesa benk wanajenga kisha wanauza < ondoa shaka njoo mezani tufanye biasharaSababu yakuuza nyumba hiyo ninini mkuu Akiri maana si haba tupe ukweli ili tujipange
Asante sana Akiri, naona leo umekuja na tangazo zuri na umeliboresha kidogo. Maji matitu ni kilometre ngapi hadi Dar City Centre (yaani mjini). Maana nyumba yenyewe tena ni kilometre 2 toka barabara ya Chamazi!!!! Hiyo bei mbona ni kubwa sana kwa maeneo hayo Akiri? Nikiangalia nyumba sijui finishing yake ni namna gani sana (ubora wa materials etc) kwa hiyo bei inaua!! Japo umesema maongezi yapo!!! Kuna maeneo ukijenga nyumba kama ni nzuri sana huwezi kupata bei kubwa na maeneo mengine gofu tu ni bei ya kuua mtu!!! Kwa maji matitu mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh. Kama una za karibu kidog sema!!Nyumba ya vyumba 4 kimoja master
ina sitting room, Public toilet, Jiko , stoo , Juu imewekwa gypsum, chini tiles.
Umeme upo , maji ya kisima, maji ya bomba yapo nyumba ya jirani ni suala la kuunga
kiwanja ni kikubwa kina sqm 1,300 na kimepimwa kina hati
Nyumba ipo mbagara maji matitu. ni km 2 kutoka barabara iendayo chamazi
inauzwa Tsh 85m. ( inasungumzika )
Tuwasiliane: 0657 145555 & 0755 099 291
View attachment 74311 View attachment 74312 View attachment 74313 View attachment 74314 View attachment 74315
Mimi ni mtu wa kati , na mmiliki wa nyumba yupo ukiwa tayari njoo ukaone nyumba useme bei gani utatoa , kutoka maji matitu mpaka posta mpya labda ni 18km, nyumba za karibu zipo mkuu sasa sijui karibu wapi ?Asante sana Akiri, naona leo umekuja na tangazo zuri na umeliboresha kidogo. Maji matitu ni kilometre ngapi hadi Dar City Centre (yaani mjini). Maana nyumba yenyewe tena ni kilometre 2 toka barabara ya Chamazi!!!! Hiyo bei mbona ni kubwa sana kwa maeneo hayo Akiri? Nikiangalia nyumba sijui finishing yake ni namna gani sana (ubora wa materials etc) kwa hiyo bei inaua!! Japo umesema maongezi yapo!!! Kuna maeneo ukijenga nyumba kama ni nzuri sana huwezi kupata bei kubwa na maeneo mengine gofu tu ni bei ya kuua mtu!!! Kwa maji matitu mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmh. Kama una za karibu kidog sema!!
biaashara , wengi wanajenga na kuziuza akipata pesa anatafuta sehemu ingine anajenga atauza tena, shaka ondoasababu za kuuza nyumba ni nin mkuu?
Asante mkuu. Kwa maji matitu hapana. Ila maeneo kama Kijichi au Mbagala Kuu ile ya ustaarabuni vipi?Mimi ni mtu wa kati , na mmiliki wa nyumba yupo ukiwa tayari njoo ukaone nyumba useme bei gani utatoa , kutoka maji matitu mpaka posta mpya labda ni 18km, nyumba za karibu zipo mkuu sasa sijui karibu wapi ?
Asante mkuu. Kwa maji matitu hapana. Ila maeneo kama Kijichi au Mbagala Kuu ile ya ustaarabuni vipi?
Mtoni kijichi zipo na mbagara kuu zipo naomba niambie budget yako na ni lini unahitaji maana kijichi zipo nyumba kama 4 hv 2 ni za beach hizi 2 zingine ziko maeneo ambayo sio beach , naomba niamba niambie budget yako na aina ya nyumba uitakayo kisha nitakujibu au ni pm,
Mkuu najua utakuwa unafahamu bei ya hizi ulizosema hapa. Hebu taja bei kwa kila moja kuanzia hizo za beach na nyinginezo.
mbagara kuu kuna ya 150 inashuka mpaka 120 hv na ingine inauzwa 70 lakini gari haifiki hapohizi za beach 500 - 350, na hizo zingnia 300 - 200
Ina majini, usiku ukiingia utatamani mwenyewe ukalale makaburini kuliko humo ndanisababu za kuuza nyumba ni nin mkuu?
na humo ndani ukilala usiku ukiamka unajikuta uko juu ya mtiIna majini, usiku ukiingia utatamani mwenyewe ukalale makaburini kuliko humo ndani