Wakuu natafuta chumba cha kupanga katika maeneo ya k/koo, upanga, ilala au mabibo aliyo na taarifa anitaarifu kwa ku PM au e-mail yangu hapa
hapa
Waheshimiwa ni urgent kweli kweli.
Hata kikiwa chumba kimoja sawa suala pawe na na choo au kiwe self container.
msaada waheshimiwa.