Nyumba chanika 28ml

mslopagaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
367
Reaction score
36
Nyumba ina vyumba vtatu (1master&2single)sitting room,public toilet,kisima cha maj kipo,umeme unawaka,nymba ipo mita chache kutoka barabara ya lami
Contact 0656 698232
 
Mkuu matangazo yako ni kama ya mtu ambaye ndio anaanza kuuza vitu online.

Wewe kila siku unaweka matangazo na kila siku unaulizwa maswali ambayo hauyaweki kwenye tangazo la awali .

Wewe utauzaje kiwanja/nyumba Bila kuwa na specifications zake? Unavyosema nyumba ina vyumba vitatu ni vya size gani? Kuna vyumba vya mita 3 kwa 3 wengine mita 6 kwa 6 be specific.
 
Nyumba ina vyumba vtatu (1master&2single)sitting room,public toilet,kisima cha maj kipo,umeme unawaka,nymba ipo mita chache kutoka barabara ya lami
Contact 0656 698232
Next time ukiweka tangazo weka na size ya kiwanja na sqm ya nyumba.
 
OK Mkuu nashukuru kwa shule ntajitad Mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…