Nyumba chakavu zinauzwa .

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Nina nyumba chakavu katika maeneo yafuatayo.

kinondoni shamba , kuna nyumba 3 kati ya hizo ni moja 2 ambayo gari inafika nyumba hii ni ndefu ina ukubwa wa 30m X 14m, bei yake ni 35m mazungumzo yapo. hizi zingine 2 zina nyumba zenye vyumba 4 kila moja , umeme na maji na gari zinaishia mtaa wa pili na bei ni 40m kwa kila moja .

kinondoni mascow kuna nyumba ya vyumba 4 gari inafika , umeme ulikatwa , bei 22m, nyingine ipo kinondoni mkwajuni jirani na katumba bar ina umeme na kiwanja kina title deed ina vyumba 4 na eneo kidog la kutosha gari 2 inauzwa 80m

nyingine ipo temeke ina vyumba 5 , pale keko tololi ni ya makuti gari haifiki, inauzwa 35

kwa anayehitaji kuziona 0657 14555, na 0755 099 291
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…