Sio lazima upost kila siku [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31]Leo kaja demu ananiuliza baby unaujua wimbo wa Salome nikamjibu ndio Kwan umekuaje akanijibu eti anaupenda anaaomba nimuimbie nikaanza kushuka mistari ya kufa mtu kama.
Salome juu ya kaburi lako nalia aaaahhhh kilio nakisikia kabla sijajalizia anadakia et babi sio huwo nikamjibu kumbe unaujua kwa nn husiimbe mwenyewe ili kukata soo akajiongelesha kumbe n.a. ww ni mkari wa kuimba babi.
SIPENDI UJINGA MIMI
Hahaha umetisha mkuuIv ni nani aliyeanzisha ichi kimsemo 'sipendagi ujinga' maana saiv imekua kama kamchezo mtu anatuma sms chini anaandika sipendagi ujinga.. sasa nasema iv atakaye andika sms halaf akaandika hapendi ujinga sms yake sitaisoma. maana sipendagi ujinga mimi.
Na mimi comment yako nimesusa kuisoma, maana sipendagi ujinga mimi..Iv ni nani aliyeanzisha ichi kimsemo 'sipendagi ujinga' maana saiv imekua kama kamchezo mtu anatuma sms chini anaandika sipendagi ujinga.. sasa nasema iv atakaye andika sms halaf akaandika hapendi ujinga sms yake sitaisoma. maana sipendagi ujinga mimi.