Kumbe ni the newly formed.me nilizania ni ya zamani.peleka propaganda othaya and baringo.hapa ni jf kuna great thinkers bana.ochuodho anatokea Rangwe kagan location,alishawai kuwa muimba kwaya wa moi,mbunge lakini hakuna alichowafanyia wana Rangwe pamoja na kagan,akapoteza kisiasa,leo amebaki kutapa tapa.jf hatundanganywi mkuu tuko gado kwa infomation zote.hata ungeleta za mum sap wako hapa tutakuambia yote hadi anayekucheat nae.hii ni jf the home of great thinkers sio blog uchwara zenu.