M mwenyeKitu JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 945 Reaction score 772 Nov 22, 2016 #1 Kwa kipindi cha hivi karibuni nimekutana na cases kama nne hivi za watoto wadogo kuota nyama Puani zinazowasababishia matatizo ya kupumua. .. Ma Dr. Mnaweza kutoa ushauri namna ya kukinga hii kitu ....na kama kuna ushauri wowote
Kwa kipindi cha hivi karibuni nimekutana na cases kama nne hivi za watoto wadogo kuota nyama Puani zinazowasababishia matatizo ya kupumua. .. Ma Dr. Mnaweza kutoa ushauri namna ya kukinga hii kitu ....na kama kuna ushauri wowote
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,692 Reaction score 41,140 Jun 15, 2017 #2 Hakuna tiba mbadala zaidi ya upasuaji?