Unaweza vunjika kiuno bureee, na mume akawa haelewekiiuu
Hahahaaa haya bwana....ila utajipa moyo ulikuwa unafanya mazoezi.....
huwa anawafunda watoto wa primary na secondary, ana balaa[/QUOTE ]mambo ya mapenzi hata hayahitaji mafunzo,kila mtu unayekutana naye ni tofauti.
manyakanga wanawatia watu ujinga tu
Kwanza hata kitchen party hazina umuhimu
JITU LIMEPOTEZA BIKIRA TOKA SHULE YA MSINGI UNALIFUNDISHA NINI? MI SIATAKI KUFANYIWA HIYO MIKITU
Kumbe bado upo upo😱