kongomboli Senior Member Joined Apr 11, 2011 Posts 156 Reaction score 35 Jan 8, 2012 #1 Nyumba inauzwa,ipo mbezi luguluni ina vyumba 4, viwili master na viwili vina public toilet,sebule,jiko,stoo,dining na mazingira mazuri kwa nje (geti) bei ni tshs millioni 80 wahi mapema piga 0715-46 74 47
Nyumba inauzwa,ipo mbezi luguluni ina vyumba 4, viwili master na viwili vina public toilet,sebule,jiko,stoo,dining na mazingira mazuri kwa nje (geti) bei ni tshs millioni 80 wahi mapema piga 0715-46 74 47
P Parachichi JF-Expert Member Joined Jul 22, 2008 Posts 510 Reaction score 104 Jan 8, 2012 #2 weka picha mkubwa! Umeme,maji yapo?ni umbali gani from morogoro road?wape watu data wakutafute!
J JATELO1 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,230 Reaction score 304 Jan 8, 2012 #3 Luguruni pale kuna tetesi kwamba kuna watu walivamia viwanja, hivyo muda si mrefu wataondolewa. Ushauri wangu; kabla hujanunua make sure umekwenda Ardhi na umekuwa na uhakika.
Luguruni pale kuna tetesi kwamba kuna watu walivamia viwanja, hivyo muda si mrefu wataondolewa. Ushauri wangu; kabla hujanunua make sure umekwenda Ardhi na umekuwa na uhakika.