Nukuu yangu

MESAYA

Member
Joined
Jan 4, 2012
Posts
55
Reaction score
56
Kama alivyowahi kusema mwalimu mmoja kwa kuwaambia wanafunzi wake kwamba ukweli utawakomboa. Basi leo hii na mimi Ismail Mesaya nawaambia MIJADALA na MALUMBANO ya mawazo miongoni mwa wasomi na vijana ndio itakayotukomboa kutoka kwenye lindi hili la umasikini tulionalo. MESAYA 2012
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…