Waungwana nauza panasonic PABX yenye uwezo ya kufunga simu za analog 150 na simu za digital 16 pia unauwezo wa kuunganisha na line 16 external
Inafaa kwa kushuli zifiatazo
Mashule
Hotels
Guest /lodge house
Ofisini
Hosipital /zahanati
Na shughuli nyingine kutegemea na mnunuzi