H his wife Member Joined May 20, 2015 Posts 12 Reaction score 1 Jun 25, 2015 #1 Wakuu nani anaijua hii kampuni please naomba msaada wenu. Au wale wanaoweza ku access kuiulizia Ubalozi wa Marekani, nahisi hawa jamaa ni wezi sasa natafuta uhakika, nimewahi ku apply kazi through kampuni yao. Natanguliza shukrani!
Wakuu nani anaijua hii kampuni please naomba msaada wenu. Au wale wanaoweza ku access kuiulizia Ubalozi wa Marekani, nahisi hawa jamaa ni wezi sasa natafuta uhakika, nimewahi ku apply kazi through kampuni yao. Natanguliza shukrani!
C CHIEF JJ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,075 Reaction score 357 Jun 25, 2015 #2 wew unataka nini kwani maana naona umapanik hiv