Nokia N97 mini

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
1,833
Reaction score
972
Wadau ninasimu yangu Nokia N97-mini imezimika kila ninapounganisha chaja inaandika Start up failed, contact retailer.

Nilijaribu kuwapelekea mafundi wa Tabora wamekwama kwani wanatumia USB kuflash. Nimejaribu Mbarara Uganda na wao hawana connector zaidi ya USB.

Kwa yeyote mwenye kumjua FUNDI aniPM.
 
Kama mbarara uganda wamekwama ebu jaribu mbarara kenya!!!
 

UNATAKIWA UTUMIE CABLE ZA NAMNA HII.HIZO SIMU NI ZA ZAMANI.USB INAKUA YA UPDATE TU.na uwe file jipya ndio itaamka..piga simu 075604567
 

Attachments

  • 1443886633729.jpg
    7.6 KB · Views: 142
UNATAKIWA UTUMIE CABLE ZA NAMNA HII.HIZO SIMU NI ZA ZAMANI.USB INAKUA YA UPDATE TU.na uwe file jipya ndio itaamka..piga simu 075604567

Umenifuraisha mkuu ndo kifaa kinachohitajika. Kwa sasa nipo Uganda nitakupigia nikirudi Tanzania.
 

Wewe alfred hiyo simu nayo ya mwaka 97 itupe tu uchukue android.
 
Wewe alfred hiyo simu nayo ya mwaka 97 itupe tu uchukue android.

Ninatumia iPhone 6, pia hiyo ninaipenda kwani inauwezo Mkubwa wa 32GB. Sorry hivi hiyo android ni simu au ni mfumo wa simu (phone system)??¿??¿?¿?!?¿
 
Kuhusu mifumo (systems) na aina za simu (phone type).

Sasa tufanye nimekubaliana na wewe,sasa kuna simu unaweza kitumia bila mfumo?na mfumo wa hiyo nokia ni symbian s60,ndio maana nikakwambia ubadilishe huu mfumo wa zamani(obsolete) uweke mfumo wa kisasa Android (na ipo mingine kama ya Apple na windows.

Kwani kama ungekua unatumia computer ya windows nikakwambia achana ja hiyo laptoo ununue linux au Apple ningekua nimekosea?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…