Shunula acha masihara bwana. Hahahah hahaha
yaani ata uki double the price sidhani kama utapata mkuu.
Hii kitu Nokia wameitangaza kwa bei ya approx. Tsh 910,000 sasa ikija bongo ongeza kama 18% so itakua kama 1.1m hadi 1.2m kwa wahindi huko.
As long as haijatoka zamani sana (ilizinduliwa Oct 22 2013), mwenye used atauza kwa 800-900Tsh.