Salaam!! Ninataka kununua simu aina ya Nokia E5!! Huwa inakwenda kwa bei gani?? Nipo Tunduru jamani na sina access ya maduka ya simu. Kuna mtu nataka nimuagiza dar
Mkuu unamaanisha 650,000?au unaongelea issue za mchina?lakini hata mchina 'feki' E5 ni zaidi ya laki. KUWA MAKINI! oldonyo;mwanza ni sh 65000 cjui sehemu zingine.
haiwezi kuwa elfu 65000 hata kama ya wizi...by the way nakushauri pia usinunue mchina bota ununue simu ya tochi...tatizo upo mbali ningekutafutia ya mtumba fasta hapa bongo