Nokia e5 inahitajika.

Hebu fafanua vizuri mbona hueleweki. Kuhusu Nokia E5
 
Yaani inahitajika kwa mwenye nayo aniuzie iwe nzima bado na iwe haina software failure yeyote ile
 
Yaani inahitajika kwa mwenye nayo aniuzie iwe nzima bado na iwe haina software failure yeyote ile

Mimi nipo maeneo ya Kibaigwa-Dodoma. Ninayo hiyo E5 nimeinunua mwezi wa febr. Kama utakuwa bado hujapata nitaarifu
 
Mada hapo juu

ninayo naipenda what is so special ili nivienjoy nayo nna whatsap ,m chat ,opera,fb,na theme kibao nifute ila tukubaliane tsh 320000
 
Nshapta wakuu nsha uziwa na mdau humu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…