lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,912
- 3,378
Bei pm mbona kama unatuzuga hivi
Kwanini na tangazo lisingewekwa PM tu mkuu?
Au unaogopa TRA.
Mtu akija PM unajua yupo tyr kwa biashara
Wangapi washakuja?
Sioni ugumu wowote wa kuweka bei hapa.
Au kila mtu ana bei yake?
Poa biashara njema lakini, hatuwezi kukupangia maana ni yako.
Bei pm ili utupige?
Weka bei bwana.
Kwanini na tangazo lisingewekwa PM tu mkuu?
Au unaogopa TRA.