Noah is my dream car, bandiko hili lingekuja kama miezi mitano hivi mbele, hakika mteja ungekua umepata
Hata sasa ukiamua tu mkuu ni maumuzi tu
Mipango! sasa hivi kuna mambo mengine inabidi yafanyike, haka ka-Swift katasaidia kwa hii miezi mitano iliyobaki kbala sijapata huyo Noah
Hahhaha sawa mkuu
Hako ka swift Uswe utaniachia