Wakuu nauliza kati ya Toyota Noah Liteace na Nissan xtrail ipi ni bora (fuel consumption, spares, mainteinance/service etc.? Mizunguko yangu ni hapa hapa mjini na mara chache sana mkoa lami mpaka kijijini...rough road haizidi 2kms.

Hapo unapambanisha gari mbili tofauti kimuundo nk
X trail ni SUV (sport utility vehicle) Noah Liteace ni Min Van. Watu kuanzia 7 na nzuri zaidi kwa familia
Zote zina CC 2000 (1998 /1990)
Hapa unywaji wa mafuta ni ngoma zinafungana
Zote inakadriwa 9-12km/L kutegemea na mazingira (mjini au nje ya mji highway)
Kwa vifaa noah ni Toyota bila shaka spare ni nyingi kitaaa mpaka fake za mchina na unafunga inatembea
Style hiyo ya fake na spare za nafuu sana Xtrail haina. Ila vifaa ni vingi tu saizi mjini.
Kazi kwako sasa kuchagua. Xtrail service ni ghari kuliko noah.
SHUKRANI KIONGOZI nimechungulia pia TRA watanichanja kati ya 6m to 8m ikifika nchini (kwa xtrail)so nijiandae na kama 9.5m na mauza uza ya Bandarini& Agent