M Mnyaluhala. JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 1,430 Reaction score 1,789 Feb 21, 2015 #1 Habari. Nahitaji toyota noah mbili zenye hali nzuri zisizosumbua na ambazo hazijawahi kugongwa wala kubadilishwa engine. Bajeti yangu 7 milion kila moja.
Habari. Nahitaji toyota noah mbili zenye hali nzuri zisizosumbua na ambazo hazijawahi kugongwa wala kubadilishwa engine. Bajeti yangu 7 milion kila moja.
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Feb 21, 2015 #2 iko wapi mkuu, je number B unachukua ? nicheki 0657145555
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,129 Reaction score 137,430 Feb 21, 2015 #3 Ni pm namba yako mimi na Noah namba C
ldd JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 790 Reaction score 128 Feb 21, 2015 #4 Mhh,apa daslam kuna watu wanamagari namba D, lakini ata namba A haikuti uchakavu wake!