How? Sijapata masaibu ila ninaungana na wakubwa akina Liverpool, nimeshuhudia kwa macho kwa wengine,,sihitaji kuoa
liverpool vpn anawasilisha ujumbe wa kweli jamaa apewe medal of honour anaongea uhalisia uliopo kutokana na dunia ya sasa ana facts za maana
Liverpool VPN naona kijana somo limemuingia vizuri.
safi sana, hawa ni kuwala mbususu tu, kuoa wasahau
Liverpool VPN
Karibu sanaa kwenye CHAMA LA WABISHI KUOA.
Fanya hivi..
1. Ni mwajiriwa serikali;
Rudi Shule ONGEZA elimu ili ile TGS ipande.
Na siku hizi huna haja ya kwenda kujifungia ukaacha dili zako. Open university ipo japo kuisoma sehemu huna kampani ni Kazi hasaa.
2. Umejiajiri
Tafuta skills.
Siku hizi Kuna YouTube, Google na kwengine huko.
These are our best friends, tuwatumie kupata skills.
Skills zile zitakazo pandisha maarifa yako ya madili yako.
3. Usisahau FINANCIAL EDUCATION.
Hii ni muhimu sanaa.
Hii sio ile ya darasani, hii ni ile elimu kitaa ya pesa.
Kuna vitabu vya kina Robert Koyasaki na wengine, SOMA sanaa.
Tafuta sanaa maarifa huko Google na YouTube.
Usisahau yale madarasa ya elimu ya kutafuta pesa kama zoom meeting na face to face.
THE POINT IS FIND MONEY.
In what ever you do BE THE BEST AND FIND MONEY.
With money nothing is IMPOSSIBLE.
Mi binafsi nimeamua kuwekeza kwenye kilimo, Bado nakomaa na kutafuta skills, capital na mengineyo.
Naamini ndani ya miaka 5 ijayo KWENYE HILI NILILOANZA SITOKUA HIVI HIVI TENA, LAZIMA NIWE JUUU.
Hizo akili za kutafutia mke Bora NILIMIE..!!
USIOE USIOE USIOE USIOE USIOE
MWENYE KICHWA NA ANIELEWE.
#YNWA