NO true love in Africa

Zee Korofi

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2021
Posts
1,604
Reaction score
1,440
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, hakuna upendo wa kweli Afrika, wanawake wanaolewa kwa shida na njaa za familia zao.

Wanawake wanaolewa ilo kujishikiza, wanaficha tabia zao mbovu na kuzionesha mkishajijenga kiuchumi na kupata familia.

Wengi wana tamaa, mkishapata vigari na tunyumba, na watoto wakishakua wakubwa basi wanaanza visa ili muachane mgawane mali.

Wengine wapo tayari hata kukuua!

Kwa sababu hii[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] na nyinginezo nyingi:

Natamka rasmi SITAKI KUOA japo sisemi kuoa ni vibaya, huu ni uamuzi wangu na nina haki ya kuheshimiwa, kama nyie mliooa mlivyo na haki ya kuheshimiwa.

#SitakiKuoa #NoTrueLoveInAfrica
 
Umesikika vema sana na Nikupe pole kwa Masaibu uliyokutana nayo, Sababu ya Hayo uloyataja ni Wengi wetu Kuacha Misingi ya Tamaduni zetu au Dini zetu kitu ambacho mababu zetu Kiliwasaidia sana wakavuka salama na Ku raise familia bora

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
How? Sijapata masaibu ila ninaungana na wakubwa akina Liverpool, nimeshuhudia kwa macho kwa wengine,,sihitaji kuoa
 
Ndio kuoa ni pressure jamiii itakuonaje tafuta pesa zako furahia dunia. Ukifa watajua wao wakatane mapanga wauane Shauri zao
 
How? Sijapata masaibu ila ninaungana na wakubwa akina Liverpool, nimeshuhudia kwa macho kwa wengine,,sihitaji kuoa
liverpool vpn anawasilisha ujumbe wa kweli jamaa apewe medal of honour anaongea uhalisia uliopo kutokana na dunia ya sasa ana facts za maana
 
ukweli unao umiza hakuna mtu atakuja kukuambia 👉 hata umpende mwanamke mzuri kiasi gani ipo siku utatamani usimuone na hana mvuto kwako tena the same kwa wanawake nao ipo siku atamchukia mumewe atataka kuvunja ndoa ili aishi kwa amani

vitu vya kujifunza hapa ni viwili katika kumaintain
Kwa sisi wazee wa kula kwa jasho(wanaume) tujiweke vizuri kweny uchumi hili litatupa thamani maradufu angalau sijasema ndo hatutoachwa ila utakuwa na ushawishi fulani hata kulea wanao mbeleni baada ya ndoa kuvunjika

Niwape ushauri hawa watakao zaa kwa uchungu (wanawake) tabia njema, heshima ,utii,kujitambua, kuwa muelewa, kurizika na mengineo kama mafunzo ya dini na mila zetu vinavoeleza itawasaidia kulinda ndoa zao na ndani ya ndoa atajulikana kiongozi ni nan sisi ni binadamu sio ukoo wa kambale kila mtu ana ndefu lazima mwanaume awe kichwa cha familia

Mambo ya kuleta kiburi wanawake vifo vitaongeza kwa kupigwa zaidi ya corona
 
Kimekusibu kipi mkuu?
 
Wanaume wanaoa ili iweje?
 
Mkuu hujaacha tu ku-quote kwa hasira? Sijawahi kuona quote yoyote uki-quote pasipo hasira.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni hivi, vitu vingine takwimu tunazipata kwa macho tu, haihitaji nguvu nyingi as if ni project ya sayansi. Hivyo tu yaani!

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa unachekaga kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…