BAK hivi unajua nini kinaendelea kwenye siasa za mpira wa nchi hii?
Ngoja nimjibu mhariri wa hilo gazeti:
1.Karume tumehama kwa sababu mbili,kujiwekea mazingira bora ya kufanya kazi na kupisha ujenzi wa kitega uchumi Karume (tunaanza punde).
2.La mwl Kim Poulsen nilikwisha sema si vyema kumuongelea mtu ambaye hawezi kuja kujitetea hapa jf,maamuzi ya kumwondoa yalikuwa sahihi,kwa anayebisha time will tell.
By the way unataka nianike hapa jf state of affairs niliyoikuta TFF? Nikifanya hivyo nitakuwa ninamsaidia nani? Nikuambie nilikuta sh ngapi benki? Huyo mhariri bora anngenipongeza badala ya kunihukumu,anyway i know why.