Njooni mtubu

Joined
Feb 20, 2012
Posts
93
Reaction score
11
Wasichana wote ambao mmefanya abortion, madokta mnaofanya hyo kazi na wanaume mnaowaruhusu wale mlofanya nao uzinzi wakafanye abortion.
. . . . . . . . . . . . . . . .
Wekeni tanga muwalilie hao viumbe wasio na hatia mliowaua, pateni sononeko la moyo kwa maumivu waliyopata kabla ya uhai kuwatoka.
. . . . . . . . . . . . . . .
Wekeni dhamira ya kutorudia hyo dhambi na mkawe mabalozi wa kukemea hyo dhambi. Mungu ni mwenye huruma atawasamehe!
NJOONI MTUBU!
 
Tunatubu kwa nani? Kwako, JF au kwa Mungu?
Maana kama ni kwa Mungu; hatuhitaji kubandika humu ili Mungu asikie!
 

... Wewe kuwa wa kwanza kutubu...
 
Rev Fr KABOKA mchizi
wewe mwenyewe unajiita mchizi achana na hilo jina la mchizi then ndipo uhubiri injili!
 

Muumba wa mbingu na nch ndiye mwenye kutoa misahama, wewe shukuru hukunyofolewa umeiona dunia.
 
kila mtu anajua wajibu wake kwa Mungu,hivyo km ni kutubu tutatubu kwa muda wetu.
 
Duuuuuuuu hi itawauma wengi. Hivi kweli mwanamke unaamua kabisa kuua kiumbe chako! huu ni unyama and there is no exkyuzi for it..........................................................
 
Ujumbe umegusa kila aliyetenda
 

Tunatubu kwa nani? Kwako, JF au kwa Mungu?
Maana kama ni kwa Mungu; hatuhitaji kubandika humu ili Mungu asikie!

Kaunga kumbe na wewe ulifanya abortion?!!!!! Ni vizuri ukitubu kwa Mungu
 
If abortion is murder, then masturbating is genocide!
 
Jamani huo ni ujumbe tu kaufikisha mtumishi, hajasema mtubu hapa JF, mnaweza kutubu kimya kimya na kama hamkuwahi kushiriki hilo tukio na mnaweza kuchukulia ujumbe huu kama angalizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…