Mkuu nimeshachukua # yako, lakn ngepnda kufahmu haya:
1. Hicho kisima mnachimba mita 1 elfu 60, je gharama za ufundi zinakuwaje? 2.naomba mchanganuo wa gharama za maximum juu ya kisima chenye mita 65 za bomba, motor, tank la lita 5000, na generator/solar panel yenye uwezo wa kusukuma motor, yaan kila kimoja bei yake.