Njoo tukujengee Nyumba iliyo bora

bitebo7

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2015
Posts
858
Reaction score
601
Habari zenu wakuu
Sisi ni mafundi ujenzi tuliobobea katika ujenzi wa nyumba tunafanya kazi zifuatazo
1.Kujenga nyumba
2.Kupaua
3.Kufunga gypsum pamoja na kuskim
4.Kupaka rangi nyumba
5.Kuweka tiles
6.Kufanya wiring
Nimeshindwa kuweka picha hapa ila atakaehitaji kuona kazi zangu anicheki whatsapp samahanini lakini
Tunapatikana Dar es salaam
Tunaweza kufanya kazi mkoa wowote ndani ya Tanzania
Bei zetu ni nafuuu Mno
Mawasiliano mamba 0711976835
KARIBU TUKUJENGEE
 
Njoo nikuuzie matofali
 
Madirisha mnafunga kwa bei gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…