Tutaanzia pale........then tutaenda kulia, then kwa mbele kwenye traffic lighst tutakunja kulia mpaka Upanga sea view, then AghaKhan Hosp, then Ocean Road tunawaona wagonjwa/ndugu zetu na kuwapa misaada.. tunazunguka mpaka ferry, tunanunua samaki, tunarudi nyuma kidogo....
Halafu tunapitia hapo Chuo cha Magogoni, kwa mbele tunasimama pale Wizara Ya Elimu, tunatoa tamko kupinga Elimu ya Sayansi kufutwa shuleni na michezo...!
Baada ya hapo, tunarudi mpaka Stasheni, TRA long room, tunalaani kesi ya Masamaki kukaa kimya bila kutwajwa... wahusika wakiwa uraiani....
Hapo long room, tutaenda mpaka NSSF Water Front kuikumbuka NASAKO yetu, tukimaliza tunatawanyika