Likes za kwny post # 2 ni dalili kuwa wanaume wengi wenu mnapeperusha nusu mringoti. Wenye Miringoti ni wachache ndo maana mmewahi kuweka supporting defence.
Chukua uzi Mwekundu rula moja (sm30), chanja dodoki yale maji maji yake paka kwenye uzi, uzi ukikaika uchome moto, unga unga wake chanjia kwenye uume. Baada ya mwezi Mzee Baba kitu Box.
Mimi nikusaidie dawa ..kula vizuri pumzisha mwili , fanya zoezi ...relax na ondoa stress then fanya shughuli za kibaharia then lete mrejesho utaibwa sana mkuu ....afu acha kuangalia video za ngono maana hao ndio wanakufanya ujione tofauti