Well said, kuna mijitu yenye akili ya kitumwa! Wafe!Yaani wewe Mkuu na kufananisha na jinsi MSM zinavyolipoti majangu tu juu ya Africa; yaani MSM kutoa ushuhuda kuwa Africa sasa inapiga hatua iwe ya kiuchumi ama kijamii ,ni nadra sana! Vivyo hivyo na wewe ndivyo uangaliavyo uongozi wa Rais Kagame huko Rwanda. Kuna jamaa yangu yuko huko kwa ajili ya kongamano la mambo ya lugha! Anasema hali iko shwali na Rwanda inavutia kuishi.
Africa sio noma, ni wajinga wachache wanao taka kuingusha kumbuka LIBYAYaan Ata uo mkoa una njaa,..kweli Africa ni noma,
Yaan Ata uo mkoa una njaa,..kweli Africa ni noma,
hata hapa bongo ukiripoti njaa si unatumbuliwa? hata tshirt si zimepigwa marufuku? Lakini wewe unavyojua njaa ipo au hakuna? Maendeleo ya Rwanda hata Tanzania yashaanza kuja, ni maendeleo ya mdomoni tu! Muulize waziri kuna viwanda vingapi vipya atakujibu vingi tu, ukija kuchunguza kumbe kwa tafsiri zake hadi cherehani anasema ni kiwanda!Yaani wewe Mkuu na kufananisha na jinsi MSM zinavyolipoti majangu tu juu ya Africa; yaani MSM kutoa ushuhuda kuwa Africa sasa inapiga hatua iwe ya kiuchumi ama kijamii ,ni nadra sana! Vivyo hivyo na wewe ndivyo uangaliavyo uongozi wa Rais Kagame huko Rwanda. Kuna jamaa yangu yuko huko kwa ajili ya kongamano la mambo ya lugha! Anasema hali iko shwali na Rwanda inavutia kuishi.
Royal model ni dudu gani!? Jengeni mazoea ya kuheshimu lugha za watu!Sozinje, royal model yako ana njaa, mpelekee bakuli la uji.
Royal model ni dudu gani!? Jengeni mazoea ya kuheshimu lugha za watu
hahahahaa