Niuzie kitanda chako cha 5x6

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Nimepata ugeni nahitaji kitanda cha 5x6, bajeti yangu ni 150,000 Tshs. Mawasiliano 0789 254898.

Karibu.
 
Upo kijiji gani ero? Hivi vitu mbona vipo wazi sana kwenye showroom? Hata jeneza ukihitaji ingia show room tu si kuweka order kama zamani!
 
mi nilidhani labda yupo kisiwani!! kumbe yupo dar, atakuwa hayupo serious, kila kona vimejaa unatafuta kilichotumika!!!

Dar bila laki mbili na kuendelea huwez pata kitanda cha mbao 5*6 kipya...

na yeye ana 150k, 50 thausands short!
 
Umenishawishi nikibane changu na ukata huu mwisho wa wiki niwe mzungu au dangote,njoo pm mpwa nipo radh kulala chini tu
 
Nimepata ugeni nahitaji kitanda cha 5x6, bajeti yangu ni 150,000 Tshs. Mawasiliano 0789 254898.

Karibu.

Hiki kina miezi 2 nilinunua kwa ajili ya mgeni wangu,Godoro ukilitaka tutaongea .kilinunuliwa 190k so ukiweka 160k siyo mbaya.
 

Attachments

  • 1435359132913.jpg
    52.7 KB · Views: 183
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…