Uwuhangala
Member
- Nov 8, 2016
- 15
- 4
Huyu ni Mvulana Mkuu. Bado hajakomaa kuitwa Mwanaume. Kajinasibu mwenyewe kabisa kuwa mimi ni Mvulana.Achana na ishu za wanaume wenzio.
Deal na mambo yako mkuu.
Wanaume huwa hatuaribiani magepu aiseee, na wanawake huwa hawana shukrani, kumbuka hio itakusaidia sana
teh teh tehHuyu ni Mvulana Mkuu. Bado hajakomaa kuitwa Mwanaume. Kajinasibu mwenyewe kabisa kuwa mimi ni Mvulana.
Hata mambo yake yana harufu ya utoto mwingi. Sema huyu mvulana anataka tu kumuonja mtoto,sasa anatafuta gear ya kuingilia.
?Ndio maana ukajiita mvulana maana wanaume hatupo hvyo
Me nakutaka ila na me ni mvulana!Wavulana bwana!!
Kawatake wasichana bwana we!!!Me nakutaka ila na me ni mvulana!
Hao hawajui wewe umeniscorpion moyo wangu! kula sili,nikitoa hela nakuona wewe,ubongo wangu umenyambulikanyambulika unakuwaza wewe tu jamani ntakufa mimiKawatake wasichana bwana we!!!
Mazishi lini?Hao hawajui wewe umeniscorpion moyo wangu! kula sili,nikitoa hela nakuona wewe,ubongo wangu umenyambulikanyambulika unakuwaza wewe tu jamani ntakufa mimi
siku ya harusi yetuMazishi lini?
Hapo naona unatengeneza kugegedana.Mpigie simu au mtumie meseji kwamba unataka umshauri na umwambie ukweli juu ya mshikaji wake, kama inawezekana aje gheto au sehem yyte tulivu, kwa maana anashida lazima atakuja, na hapo ndio pa ku-take advantage
Maana huku mtaani itakuwa vurugu tu.Teh teh kazi ipo! Form four mitihani imeisha sasa tujiandae kisaikolojia
Kizuri kula na mwenzio,Hapo naona unatengeneza kugegedana.