Inategema ku unlock kupi unazungumzia wewe
Kama umesahau password na inakuadai uingize details za gmail na wewe umezisahau au umeuziwa simu ya wizi au umeokota simu ya watu nk, basi unatakiwa kufanya hard rest
Kama imekuwa locked kwa mtandao fulani tu kuna namna zake pia