Nitapata wapi Original Iphone 5s Charger & data cable

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,691
Reaction score
14,379
Wakuu kuna jamaa yangu ana iphone 5s lakini aliletewa haina charger, tumehangaika sana kununua charging cable lakini ikifanya kazi siku mbili tatu inakuja massage cable is not compatible with this device

Baada ya gooogle za kutosha nimebaini Apple wameweka kitu maalum kwenye cable zao hivyo hikiweka fake baada ya siku kadhaa inakuwa rejected

Wapi tutapata original charger na data cable za iphone 5s(Authorized dealer)
na inaweza kugharimu kiasi gani kwa data cable haswa ndio tunaitaka
 

Upo mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…